Angalia Hapa Tamasha la Apple “Time Flies” Kwa DK 12

Kampuni ya Apple leo imetengaza kufanya tamasha lake ambapo bidhaa mbalimbali za Apple zinatarajiwa kuzinduliwa, kwa mujibu wa ripoti mbalimbali inasemekana kuwa Apple haito zindua simu mpya za iPhone 12 na badala yake k…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Kampuni ya Apple leo imetengaza kufanya tamasha lake ambapo bidhaa mbalimbali za Apple zinatarajiwa kuzinduliwa, kwa mujibu wa ripoti mbalimbali inasemekana kuwa Apple haito zindua simu mpya za iPhone 12 na badala yake kampuni hiyo itazindua bidhaa nyingine kama iPad, iWatch na bidhaa nyingine ambazo ni kama huduma.

Update : 16-09-2020

Baada ya kampuni ya Apple kufanya tamasha lake hapo jana tarehe 15 septemba kampuni hiyo haiku zindua simu mpya za iPhone na badala yake kampuni hiyo ilitangaza kuzindua iPad Air mpya pamoja na Apple Watch Series 6 na Watch SE. Unaweza kuangalia uzinduzi mzima jinsi ulivyo kuwa ndani ya dakika 12 kupitia hapo chini.

Related guides

Related gadgets