Code za Siri za Smartphones Mbalimbali (Njia Rahisi)

Amani JosephApril 12, 20231 min read Android ni moja kati ya mfumo ambao una mambo mengi sana, hadi sasa ni mambo machache sana ambayo tayari watumiaji wa kawaida wanafahamu kuhusu mfumo huu. Kuliona hilo leo VinkoWeb tu…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
April 12, 2023
1 min read

Android ni moja kati ya mfumo ambao una mambo mengi sana, hadi sasa ni mambo machache sana ambayo tayari watumiaji wa kawaida wanafahamu kuhusu mfumo huu.

Kuliona hilo leo VinkoWeb tunakuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia kujua code za siri za simu yako ikiwa pamoja na simu nyingine kama Samsung na simu nyingine. Tofauti na njia ambazo tayari tulisha onyesha kwenye makala zilizopita, njia hii ni rahisi zaidi na unaweza kufanya mambo mengi zaidi kuliko njia zilizopita.

Baada ya kusema hayo moja kwa moja twende kwenye makala hii moja kwa moja, kitu cha muhimu hakikisha unafuata hatua zote kwenye makala hii.

Kwa kuanza, download app hapo chini kisha endelea kufuata hatua hizi, fungua app hii kisha subiri app hii itafute code za siri zinazo endana na simu yako.

Download Hapa

Baada ya app hii kumaliza kutafuta code moja kwa moja utaweza kuona code hizo kwenye app hiyo, ukurasa wa kwanza unazo code ambazo ni maalum kwa simu yako. Lakini sio kila code inafanyakazi hivyo ni vyema kujaribu code moja baada ya nyingine, hakikisha unasoma maelezo ya code hizo zinahusiana na nini.

Ili kujaribu code hizo bofya sehemu ya run na moja kwa moja bofya kitufe cha paste kwenye keyboard yako sehemu ya kuandika namba. Kama unatumia simu ya Samsung basi unaweza kufungua tab ya Samsung na moja kwa moja utaweza kuona code maalum kwa simu za Samsung.

Updated:
Previous Post
Rahisisha Matumizi ya Windows Kupitia “GodMode”
April 5, 2023
2 min read
Next Post

Apps Nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Darasani

April 12, 2023
3 min read
You May Be Interested
Hizi Hapa Settings za Samsung Ambazo Ulikuwa Huzijui
May 8, 2023
3 min read
Jinsi ya Kugundua Mapema Tatizo Lolote la Simu Yako
May 3, 2023
2 min read
Jinsi ya Kutengeneza Forum kwa Kutumia Smartphone
April 13, 2023
1 min read

Related guides

Related gadgets