Game Mpya ya Harry Potter Kuja Kwenye Smarphone Hivi Karibuni

Habari njema kwa wapenzi wa game za kwenye smartphone, hivi karibuni utaweza kucheza game mpya ya Harry Potter kupitia simu yako ya mkononi yenye mfumo wa Android pamoja na iOS. Game hiyo mpya ya Harry Potter: Hogwarts M…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Habari njema kwa wapenzi wa game za kwenye smartphone, hivi karibuni utaweza kucheza game mpya ya Harry Potter kupitia simu yako ya mkononi yenye mfumo wa Android pamoja na iOS.

Game hiyo mpya ya Harry Potter: Hogwarts Mystery, ina tegemewa kutoka ikiwa ni video game ya kwanza ya Harry potter kutoka toka mwaka 2012, pia ni game ya kwanza ya Harry Potter kutoka chini ya kampuni ya burudani ya Warner Bros. Interactive Entertainment.

Kupitia Game hiyo mpya utapa nafasi ya kujifunza njia mbalimbali za kupambana na wachawi pamoja na kujifunza njia mpya za uchawi kupitia kwa walimu ndani ya chuo maalum cha uchawi.

Related guides

Related gadgets