Jinsi ya Kutengeneza Forum kwa Kutumia Smartphone

Amani JosephApril 13, 20231 min read Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanatamani kumiliki forum basi makala hii ni kwa ajili yako, kupitia makala hii utaweza kujifunza hatua rahisi za kutengeneza Forum mwanzo mwisho kwa…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
April 13, 2023
1 min read

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanatamani kumiliki forum basi makala hii ni kwa ajili yako, kupitia makala hii utaweza kujifunza hatua rahisi za kutengeneza Forum mwanzo mwisho kwa kutumia simu yako ya mkononi.

Njia hii ni rahisi sana na huitaji kuwa na kompyuta ili kuweza kutengeneza forum hii, kitu cha msingi ni kufuata hatua hizi mwanzo mpaka mwisho na baada ya hapo utaweza kutengeneza forum yako kwa urahisi na haraka kwa kutumia smartphone.

Uzuri wa njia hii ni kuwa unaweza kuifanya bila gharama yoyote yani huna haja ya kulipia domain pamoja na host. Unaweza kutumia hosting za bure kuweza kuweka forum hii moja kwa moja, lakini pia ni muhimu kujua hizi hosting za bure zina (Limit) vikwazo hivyo hutoweza kutumia forum yako kwa ukamilifu. Unaweza kupata hosting nzuri kwa kuangalia link hapo chini.

— LINK ZA MUHIMU —

1. Download Hapa file la Forumtz Hapa

2. Free hosting unayoweza kutumia

3. Free hosting nyingine unayoweza kutumia

4. Jaribu Forum tuliyotengeneza Hapa

Hadi hapo natumaini utakuwa umeweza kutengeneza Forum kwa kutumia simu yako ya mkononi au smartphone, kama kuna mahali popote umekwama usisite kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini. Kwa maujanja zaidi unaweza kusoma hapa kujifunza jinsi ya kutengeneza website ya muziki bure kabisa bila gharama yoyote.

Updated:
Previous Post
Apps Nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Darasani
April 12, 2023
3 min read
Next Post

Samsung na Tigo Wasogeza Galaxy A Series Kwenye Magulio ya Simu

April 18, 2023
2 min read
You May Be Interested
Futa Vitu Kwenye Recycle Bin Unapozima Kompyuta
May 10, 2023
2 min read
Hizi Hapa Settings za Samsung Ambazo Ulikuwa Huzijui
May 8, 2023
3 min read
Jinsi ya Kugundua Mapema Tatizo Lolote la Simu Yako
May 3, 2023
2 min read

Related guides

Related gadgets