Jinsi ya Kuondoa Background Kwenye Picha Bila App Yoyote

Amani JosephMarch 23, 20221 min read Kama wewe ni mmoja wa watu ambao hutumia muda mwingi kuedit picha zako basi leo nimekuandalia maujanja rahisi sana ambayo unaweza kutumia kuweza kuondoa background kwenye picha zako b…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
March 23, 2022
1 min read

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao hutumia muda mwingi kuedit picha zako basi leo nimekuandalia maujanja rahisi sana ambayo unaweza kutumia kuweza kuondoa background kwenye picha zako bila kutumia programu yoyote.

Njia hii ni rahisi sana na uhitaji kuwa na ujuzi wowote bali unacho hitaji ni kuwa na simu yako au kuwa na kompyuta. Pia unahitaji kuwa na Internet ambayo najua unayo ndio maana unaweza kusoma maujanja haya. Basi kama unavyo vitu vyote hivi sasa unaweza kuangalia video fupi hapo chini ambayo itakuonyesha kwa vitendo maujanja yote haya.

Kama umeangalia video hapo juu basi ni imani yangu unaweza kufanya hatua hizo fupi za kuweza kuondoa Background kwenye picha zako kwa urahisi. Unaweza kupata Link zote zilizo zungumziwa kwenye video hapo juu kwa kubofya hapo chini.

Link Maalum

  • Tovuti ya kuondoa background kwenye picha zote  – Bofya Hapa 
Updated:
Previous Post
Hizi Hapa Apps ambazo ni Mbadala wa Soko la Play Store
March 22, 2022
2 min read
Next Post

Umuhimu wa Kurestart Simu Yako Angalau Mara 1 kwa Wiki

March 24, 2022
3 min read
You May Be Interested
Apps Zinazoweza Kufanya Simu Yako Kuwa Janja Zaidi
March 26, 2022
3 min read
Ficha Apps Kwenye Simu za Samsung Bila Kutumia App
March 25, 2022
2 min read
Umuhimu wa Kurestart Simu Yako Angalau Mara 1 kwa Wiki
March 24, 2022
3 min read

Related guides

Related gadgets