Jinsi ya Kutengeneza Dollar $5 Kila Siku kwa Kutumia Smartphone

Karibuni kwenye maujanja jumapili ya leo, Leo naenda kushirikiana na nyie njia mpya ambayo itaenda kusaidia kutengeneza dollar $5 ambayo ni sawa na Tsh 11,800 kila siku. Kumbuka kuwa njia hii inafanya kazi kwa asilimia 1…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Karibuni kwenye maujanja jumapili ya leo, Leo naenda kushirikiana na nyie njia mpya ambayo itaenda kusaidia kutengeneza dollar $5 ambayo ni sawa na Tsh 11,800 kila siku. Kumbuka kuwa njia hii inafanya kazi kwa asilimia 100, lakini kama zilivyo kazi zingine hata hii inahitaji bidii kila siku.

Kupitia maujanja haya utaweza kuonda njia zote ambazo mimi nilitumia kupata pesa mtandaoni na kama unavyojua hatuwezi kuonyesha njia yoyote ambayo hatuja jaribu wenyewe na kuhakikisha inafanyakazi kwa asilimia zote. Hivyo basi njia hii ninayo kuonyesha tumejaribu kwa muda mrefu na kuona kuwa inaweza kukusaidia hasa kupata kipato cha kawaida cha kila siku.

Related guides

Related gadgets