Jinsi ya Kuzuia SMS za Promosheni Kwenye Simu Yako

Amani JosephFebruary 11, 20231 min read Siku hizi kuna makampuni mengie sana yanafanya promosheni kupitia kutuma meseji kwa watumiaji wa simu mbalimbali, kuna wakati meseji hizi zinakuwa kero sana kwa sababu ya kupokea m…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
Amani Joseph
February 11, 2023
1 min read

Siku hizi kuna makampuni mengie sana yanafanya promosheni kupitia kutuma meseji kwa watumiaji wa simu mbalimbali, kuna wakati meseji hizi zinakuwa kero sana kwa sababu ya kupokea meseji nyingi kwa siku na mbaya zaidi hakuna njia yoyote ya kuweza kujitoa kwenye huduma hizi.

Kupitia maujanja siku ya leo nitakuonyesha njia bora ya kuzuia meseji hizi zisiweze kuingia kwenye simu yako na kukusumbua mara kwa mara.

Kumbuka njia hii ni bora sana na inaweza kusaidia hata kuzuia meseji zile za ile pesa tuma kwenye namba hii, pamoja na meseji kutoka kwa mtu yoyote. Basi bila kuendelea kukuchosha na maneno mengi hebu twende tukajifunze njia hii.

Mpaka hapo natumaini umeweza kuzuia meseji za promosheni zinazo tumwa kwenye simu yako, unaweza kupata apps zilizotajwa kwenye video hapo juu kwa kudownload kupitia hapo chini.

Download App Hapa

Kwa maujanja zaidi hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya VinkoWeb kila siku, pia kwaajii ya kujifunza zaidi unaweza ku-subscribe kwenye channel yetu hapa. Kama unataka kujifunza maujanja zaidi unaweza kusoma hapa kujua njia ya kuzia matangazo kwenye Apps zote ndani ya simu yako ya Android.

  • maujanja
Updated:
Previous Post
Apps Nzuri Kwa Simu za Android Zilizopo Rooted
February 9, 2023
3 min read
Next Post

Instagram na Facebook Kuanza Kuuza Alama ya Verification

February 19, 2023
1 min read
You May Be Interested
  • Maujanja
Nunua Bidhaa Zenye Ubora Kupitia Aliexpress (2026)
March 1, 2023
2 min read
  • Maujanja
Jinsi ya Kubadilisha Simu ya Android Kuwa iPod Classic
March 1, 2023
1 min read
  • Maujanja
Tumia Simu Kama Mic Bila Kutumia App Yoyote
February 28, 2023
2 min read

Related guides

Related gadgets