Teknolojia Mpya ya Magari Kwenye Mkutano wa CES 2017
Teknolojia ya magari imeendelea kukua kila siku, ili kukuletea yote unayotakiwa kujifunza na kujua kuhusu magari VinkoWeb itakuletea kipengele maalum cha magari ambacho hapo tutakua tukijifunza wote kuhusu teknolojia zot…
Teknolojia ya magari imeendelea kukua kila siku, ili kukuletea yote unayotakiwa kujifunza na kujua kuhusu magari VinkoWeb itakuletea kipengele maalum cha magari ambacho hapo tutakua tukijifunza wote kuhusu teknolojia zote mpya za magari kwa ujumla.
Tukirudi kwenye mkutano wa CES wa mwaka huu, magari nayo yalikwepo kwenye mkutano huo ambao sasa umeingia kwenye siku ya nne. Ifuatayo ndio list ya teknolojia bora za magari zilizokua kwenye mkutano huo.
FF 91
FF 91 ni aina ya gari la umeme ambalo linategenezwa na kampuni ya Faraday Future kampuuni ambayo pia mwaka jana ilikuja na magari ambayo ni bora na ya kisasa kabisa.
Chrysler Portal
Delphi’s autonomous Audi
BMW i Inside Future
https://www.youtube.com/watch?v=yHANVVshQps
Toyota’s Concept-i
Hyundai Mobility Vision
Hyundai pia haikua nyuma kwenye mkutano wa mwaka huu, kampuni hiyo ilionyesha matarajio yake ya magari yatakayokuja kwenye miaka ya karibuni.
Ioniq Scooter
https://www.youtube.com/watch?v=hi8qBPe4_Uo
Ioniq Scooter ni mfano wa pikipiki ndogo ambayo unaweza hata kuibeba kwenye begi lako hii itakusaidia kama wewe unataka kukatisha kwenye mitaa mbalimbali kwa haraka.
