Video: Zifahamu Hizi Hapa Meli 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani

Kama wewe ni mfuatiliaji wa tovuti ya VinkoWeb basi lazima unajua kuwa kuna wakati tunapenda kujuzana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu teknolojia ambavyo yanaweza kuwa yamevunja rekodi kwa namna moja ama nyingine. Kwa…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Kama wewe ni mfuatiliaji wa tovuti ya VinkoWeb basi lazima unajua kuwa kuna wakati tunapenda kujuzana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu teknolojia ambavyo yanaweza kuwa yamevunja rekodi kwa namna moja ama nyingine.

Kwa siku ya leo nimekuletea hii ya meli kubwa kuliko zote duniani, Baadhi ya meli hizi ni kubwa kuliko hata jengo refu kuliko yote duniani ambalo linapatikana nchini Dubai… Huniamini angalia video hapo chini. Natumaini utaweza kuangalia hadi mwisho..

Related guides

Related gadgets