Jinsi ya Kuwa na Mixer ya Muziki Kwenye Simu ya Android

Amani JosephMarch 1, 20221 min read Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapendelea muziki na kama unataka kuwa na mixer ya muziki kupitia simu yako ya Android basi makala hii ni maalum kwa ajili yako. Kupitia makala hii a…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
March 1, 2022
1 min read

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapendelea muziki na kama unataka kuwa na mixer ya muziki kupitia simu yako ya Android basi makala hii ni maalum kwa ajili yako.

Kupitia makala hii ambayo ni sehemu ya kwanza nita onyesha jinsi ya kuwa na Mixer kwenye simu yako ya Android. Kumbuka hii ni sehemu ya kwanza na tutaendelea hadi kufikia hatua ya kuwa na studio ndogo kwenye simu yako na niamini kuwa hii inafanya kazi kwa asilimia 100.

Basi bila kupoteza muda moja kwa moja twende kwenye makala hii, kitu cha muhimu hakikisha unafuatilia hadi mwisho ili kuweza kujua jinsi ya kufanya setup.

Baada ya kufuata maelezo yote hayo hapo juu unaweza kupakua app kupitia link hapo chini na kisha jaribu njia hii moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi ya Android.

Download App Hapa

Kwa kufuata hatua zote hapo juu natumaini utakuwa umeweza kuwa na mixer kwenye simu yako ya mkononi ya Android. Kama una maoni au kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa jinsi ya kutengeneza beat kupitia simu yako ya mkononi ya Android, bofya hapa kujua zaidi.

Updated:
Previous Post
Vivo V23e Review
February 26, 2022
1 min read
Next Post

Jinsi ya Kupata Views na Likes Nyingi Instagram Kupitia Font

March 2, 2022
2 min read
You May Be Interested
Jinsi ya Kudownload Profile Picture Yoyote Instagram
March 8, 2022
2 min read
Jinsi ya Kutumia Ramani (Map) Kwenye Simu Bila Internet
March 5, 2022
3 min read
Jinsi ya Kupata Views na Likes Nyingi Instagram Kupitia Font
March 2, 2022
2 min read

Related guides

Related gadgets