Angalia Hapa Mubashara Mkutano wa WWDC 2018

Angalia hapa mubashara mkutano wa WWDC 2018, Kila mwaka Apple hufanya mkutano wa WWDC au Apple Worldwide Developers Conference, kwenye mkutano huo Apple hupata nafasi ya kuonyesha bidhaa zake mpya ikiwa pamoja na mambo m…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Angalia hapa mubashara mkutano wa WWDC 2018, Kila mwaka Apple hufanya mkutano wa WWDC au Apple Worldwide Developers Conference, kwenye mkutano huo Apple hupata nafasi ya kuonyesha bidhaa zake mpya ikiwa pamoja na mambo mengine yanayohusu mifumo mipya ya uendeshaji ya vifaa vya kompyuta na Simu kutoka Apple. Angalia hapa Tamasha hilo Mubashara.

https://youtu.be/fWSsEQzRnOw

Related guides

Related gadgets