Part 2 : Jinsi Nilivyo Tengeneza Milioni 20 Mtandaoni

Kupitia Video hii tunaendela kwenye Muondelezo wa Video iliyopita ambayo nilikuwa nikiwaonyesha jinsi nilivyo weza kutengeneza pesa mtandaoni zaidi ya Milioni 20 kwa kutumia njia rahisi. Kupitia Video hii utaweza kujua k…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Kupitia Video hii tunaendela kwenye Muondelezo wa Video iliyopita ambayo nilikuwa nikiwaonyesha jinsi nilivyo weza kutengeneza pesa mtandaoni zaidi ya Milioni 20 kwa kutumia njia rahisi.

Kupitia Video hii utaweza kujua kwa nini niliacha kufanya njia hii au kikwazo kikubwa cha biashara hii ni nini, ni muhimu sana kujua haya kabla ya kuendelea kwenye awamu ya mwisho ambayo nitakuonyesha jinsi ya kupata pesa kwa kutumia tovuti ambayo mimi nilitumia kwa kipindi hicho.

https://www.youtube.com/watch?v=SDwLSiQW9ng

Kama unataka kuona mfano wa tovuti hiyo unaweza kuangalia hapa na utaweza kuona tovuti kama hiyo ambayo nimeiweka kama mfano.

Kama unataka kupata mfumo kama huu hakikisha una tembelea tovuti ya VinkoWeb kila siku pia kama unataka kuwa wa kwanza kupata mfumo huu hakikisha una subscriber kwenye channel yetu kwani ni watu wachache wa kwanza watakao pata mfumo huu.

Related guides

Related gadgets