Video 10 za Muziki Zilizoangaliwa Sana YouTube Mwaka 2017

Tumetoka kuangali video zilizotizamwa sana kwenye mtandao wa Youtube, lakini kutokana na maoni ya watu mbalimbali basi nimeona nikuletee listi nyingine ya video za muziki zilizotizwa sana kwa mwaka mzima wa 2017. Luis Fo…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Tumetoka kuangali video zilizotizamwa sana kwenye mtandao wa Youtube, lakini kutokana na maoni ya watu mbalimbali basi nimeona nikuletee listi nyingine ya video za muziki zilizotizwa sana kwa mwaka mzima wa 2017.

  1. Luis Fonsi – Despacito ft. Daddy Yankee – Views 4,461,856,177
  2. Ed Sheeran – Shape of You [Official Video] – Views 2,818,560,521
  3. J Balvin, Willy William – Mi Gente (Official Video)  – Views 1,388,463,642
  4. Maluma – Felices los 4 (Official Video)  – Views 1,187,779,720
  5. Bruno Mars – That’s What I Like [Official Video]  – Views 1,074,013,819
  6. Chris Jeday – Ahora Dice (Official Video) ft. J. Balvin, Ozuna, Arcángel – Views 1,012,602,860
  7. 05. El Amante – Nicky Jam (Video Oficial) (Álbum Fénix) – Views 975,778,782
  8. Jason Derulo – Swalla (feat. Nicki Minaj & Ty Dolla $ign) (Official Music Video)  – Views 917,584,415
  9. DJ Khaled – I’m the One ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne – Views 869,938,141
  10. Enrique Iglesias – SUBEME LA RADIO (Official Video) ft. Descemer Bueno, Zion & Lennox – Views 864,224,153

Na hiyo ndio list ya video 10 za muziki zilizo angaliwa sana kwenye mtandao wa Youtube, je nini maoni yako kuhusu list hii…? Tuandikie kwenye maoni hapo chini.

Related guides

Related gadgets