Video 10 Zilizoangaliwa sana Kwenye Facebook Mwaka 2016
Kwa mara nyingine tena baada ya kuangalia video zilizoangaliwa sana kwenye mtandao wa youtube kwa mwaka huu wa 2016, leo tukotayari kukueletea live video zilizoangaliwa sana kwenye mtandao wa kijamii wa facebook. List hi…
Kwa mara nyingine tena baada ya kuangalia video zilizoangaliwa sana kwenye mtandao wa youtube kwa mwaka huu wa 2016, leo tukotayari kukueletea live video zilizoangaliwa sana kwenye mtandao wa kijamii wa facebook. List hii imetolewa na facebook hapo juzi.
1.Candace Payne, Chewbacca Mom
2.Ted Yoder, Soundscapes
3.Buzzfeed, Countdown to the next presidential election
4. Atlanta Buzz, People are lining up to hug police officers in Dallas
5. NBC News, Election results
6. Under the Hood, Video of a truck completely carved out of wood
7. Viral Thread, Population count from US to CA
8. CNN, Election results on Empire State building
9. Dena Blizzard, Pokemon Go for moms “Chardonnay Go”
10. Super Deluxe, Election map
