Weka Password Kwenye Sehemu Yoyote (Android)

Amani JosephNovember 23, 20221 min read Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kuweka password kwenye sehemu yoyote ndani ya simu yako ya Android basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii utaweza kuweka pa…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
Amani Joseph
November 23, 2022
1 min read

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kuweka password kwenye sehemu yoyote ndani ya simu yako ya Android basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii utaweza kuweka password kwenye settings, kwenye SMS, au sehemu nyingine yoyote ndani ya simu yako.

Basi bila kuendelea kupoteza muda zaidi moja kwa moja endelea kwa kuangalia video hapo chini kisha fuata hatua zote nilizokuelekeza.

Hatua ya kwanza na muhimu unatakiwa kuingia kwenye kupakua app hii ya Message Locker, hakikisha unapakua app hii kupitia link hapo chini kwani zipo app nyingi sana Play Store zenye jina kama hilo. Hakikisha unapakua app hii kwa kubofya link hapo chini.

Download App Hapa

Kwa kufuata hatua zote hapo juu natumaini utakuwa unaweza kuweka password kwenye sehemu yoyote ndani ya simu yako ya Android. Kama una maoni au kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

  • maujanja
  • maujanja ya android
Updated:
Previous Post
How to Register Your Business Name in Tanzania: A Step-by-Step Guide
November 23, 2022
3 min read
Next Post

Tengeneza Profile Picture Bora ya Insta, TikTok, FB, au Twitter

November 27, 2022
2 min read
You May Be Interested
  • Maujanja
Tumia (AI) Artificial Intelligence Kupata Likes Nyingi Instagram
December 2, 2022
2 min read
  • Maujanja
Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika
November 28, 2022
3 min read
  • Maujanja
Tengeneza Profile Picture Bora ya Insta, TikTok, FB, au Twitter
November 27, 2022
2 min read

Related guides