Hivi Karibuni Utaweza Kuchat Kupitia Mtandao wa Youtube

Hivi karibuni youtube imeanza majaribio yake mengine ya kujaribu sehemu mpya ya kuchat kupitia mtandao wa YouTube, Majaribio haya ni ya awamu ya pili sasa kutoka yale yaliokua yakifanyika miezi nane iliyopita. Majaribio…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Hivi karibuni youtube imeanza majaribio yake mengine ya kujaribu sehemu mpya ya kuchat kupitia mtandao wa YouTube, Majaribio haya ni ya awamu ya pili sasa kutoka yale yaliokua yakifanyika miezi nane iliyopita. Majaribio haya ya sasa yanasogeza karibu uwezekano wa sehemu hiyo kukujia kwenye simu yako ya Android na iOS ndani kabla ya mwaka huu.

https://www.youtube.com/watch?v=feBF_IY-HI8

Kwa sasa sehemu hiyo mpya inapatikana pekee kwa nchi za Canada na bado haijajulikana kuwa lini itatoka kwa dunia nzima. Kwa habari zaidi enedlea kutembelea Tovuti ya VinkoWeb au unaweza kudownload App ya VinkoWeb kupitia Play Store. Pia unaweza kujiunga na Youtube Channel yetu ili kujifunza zaidi kuhusu teknolojia.

Related guides

Related gadgets