Jinsi ya Kucheza Game za PlayStation Kwenye Smartphone

Amani JosephFebruary 24, 20221 min read Karibu kwenye maujanja na leo maujanja haya ni kwaajili ya wapenzi wa game, kupitia maujanja haya utaweza kujifunza njia rahisi ambayo itakusaidia kuweza kucheza Game mbalimbali za…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
Amani Joseph
February 24, 2022
1 min read

Karibu kwenye maujanja na leo maujanja haya ni kwaajili ya wapenzi wa game, kupitia maujanja haya utaweza kujifunza njia rahisi ambayo itakusaidia kuweza kucheza Game mbalimbali za Playstation kwenye smartphone yako ya Android.

Kumbuka njia hii haitaji kuwa mtaalam wa kompyuta wala haitaji kuwa mtaalamu wa simu za Android unachohitaji ni kuhakiksha unakuwa na simu yako ya Android na unakuwa na internet kwenye simu yako, na kama tayari unavyo vitu vyote hivyo basi twende tukajifunza maujanja haya moja kwa moja.

Kwanza ingia kwenye soko la Play Store kisha download App mpya ya PPSSPP Emulator, Unaweza kuipata App hiyo kwa kudownload kupitia Link Hapo chini. Baada ya kudownload na kuinstall vizuri app hiyo fungua App hiyo kisha fuata hatua zifuatazo.

Price: Free

Download App Hapa

NOTE : HAKIKISHA UNAWEKA TIKI KWENYE SEHEMU HIZI
– Immersive mode.
– Mipmapping.
– Hardware transform.
– Software skinning.
– Vertex cache.
– Lazy texture caching.
– Disable slower effects.
– Timer hack.

Unaweza kudownload Games mpya za PSP kwaajili ya kucheza kwenye simu yako kupitia hapo chini. Unaweza kudownload kwenye mfumo wa ISO kisha tumia njia hapo juu kucheza game hiz kwenye simu yako ya mkononi ya Android.

Download Games za PSP Hapa

Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua hatua kwa hatua jinsi ya kucheza games za Android kwenye kompyuta, soma hapa kujua zaidi.

  • maujanja
  • maujanja ya android
Updated:
Previous Post
App za Kutengeneza Matangazo Bora ya Instagram na FB
February 23, 2022
2 min read
Next Post

Pata Ujumbe Mfupi Mtu Anapokuwa Online WhatsApp

February 25, 2022
3 min read
You May Be Interested
  • Maujanja
Jinsi ya Kupata Views na Likes Nyingi Instagram Kupitia Font
March 2, 2022
2 min read
  • Maujanja
Jinsi ya Kuwa na Mixer ya Muziki Kwenye Simu ya Android
March 1, 2022
1 min read
  • Maujanja
Pata Ujumbe Mfupi Mtu Anapokuwa Online WhatsApp
February 25, 2022
3 min read

Related guides