Jinsi ya Kufungua App Yoyote Kupitia Notification Panel

Amani JosephMarch 10, 20221 min read Kama wewe ni kama mimi ambae kwenye simu yangu kuna apps nyingi kiasi kwamba ni lazima utumie sekunde kadhaa kutafuta app unayotaka kutumia basi njia hii inaweza kusaidia sana. Kupiti…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read
Amani Joseph
March 10, 2022
1 min read

Kama wewe ni kama mimi ambae kwenye simu yangu kuna apps nyingi kiasi kwamba ni lazima utumie sekunde kadhaa kutafuta app unayotaka kutumia basi njia hii inaweza kusaidia sana.

Kupitia makala ya leo nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kuweza kufungua app yoyote kupitia sehemu ya Notification.

Utaweza kufungua apps mbalimbali kama ambayo unawasha data na kuzima kupitia sehemu ya Notification juu ya simu yako. Basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye makala hii.

Hakikisha unafuatilia makala yote hadi mwisho kupitia video hiyo hapo juu, kisha hakikisha unapakua app iliyotajwa kupitia hapa au unaweza kupakua app hiyo kupitia link hapo chini.

Download App Hapa

  • maujanja
Updated:
Previous Post
Watch Apple Event March 8 2022 in 11 minutes
March 8, 2022
1 min read
Next Post

Fahamu Sifa Kamili za Simu Yako ya Android (Bila Internet)

March 11, 2022
2 min read
You May Be Interested
  • Maujanja
  • Programu
Hizi Hapa Apps ambazo ni Mbadala wa Soko la Play Store
March 22, 2022
2 min read
  • Maujanja
Tumia Simu Yoyote Android Kwa Haraka (Mkono Mmoja)
March 21, 2022
1 min read
  • Maujanja
Skip Matangazo ya YouTube Bila Kubofya Sehemu Yoyote
March 16, 2022
2 min read

Related guides

Related gadgets