Tumia Simu Yoyote Android Kwa Haraka (Mkono Mmoja)

Amani JosephMarch 21, 20221 min read Kadri siku zinavyokwenda ndio simu zinazidi kuwa kubwa hasa kwenye upande wa kioo, hii inafanya inakuwa ni ngumu sana kutumia simu kwa mkono mmoja, kuliona hili leo VinkoWeb tumekulet…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
Amani Joseph
March 21, 2022
1 min read

Kadri siku zinavyokwenda ndio simu zinazidi kuwa kubwa hasa kwenye upande wa kioo, hii inafanya inakuwa ni ngumu sana kutumia simu kwa mkono mmoja, kuliona hili leo VinkoWeb tumekuletea njia rahisi ya kutumia simu yoyote ya Android kwa urahisi kwa mkono mmoja.

Njia hii ni rahisi sana na inaweza kumsaidia mtu yoyote kuweza kutumia simu ya Android kwa mkono mmoja bila kujali una maumbile ya mikono midogo au hata unayo mikono mikubwa. Basi kwa kusema hayo twende moja kwenye njia hii.

Kwa kuanza hakikisha simu yako inayo bando la kutosha kisha moja kwa moja ingia kwenye soko la Play Store na pakua app ya Quick Cursor, unaweza kupata app hii kupitia link hapo chini.

Download App Hapa

Baada ya hapo sasa endelea kwa kufuatisha maelekezo kwenye video hapo chini, maelezo hayo ni rahisi lakini kwa maandishi ni ngumu kuelewa ndio maana ni lazima uangalie video hapo chini.

Kwa kufuata hatua zote hizo natumaini utakuwa umeweza kutumia simu yako ya Android kwa mkono mmoja kwa urahisi, Kama una mahali ambapo sijaeleweka unaweza unaweza kuniandikia kupitia kwenye sehemu ya maoni hapo chini. Pia naomba radhi kwa sauti yangu leo ina mafua kidogo.

Kwa maujanja zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kuangalia movie kutoka mtandao wa Netflix bure kabisa na bila kuwa na akaunti yoyote. Kwa maujanja zaidi kwa vitendo hakikisha una subscribe kwenye channel yetu hapa.

Updated:
Previous Post
Fahamu Anaepiga Simu na Kutuma SMS (Truecaller Pro)
March 17, 2022
2 min read
Next Post

Tovuti Zinazoweza Kukusaidia kupata Msaada wa Kifedha

March 22, 2022
2 min read
You May Be Interested
  • Maujanja
  • Mtandao
Umuhimu wa Kurestart Simu Yako Angalau Mara 1 kwa Wiki
March 24, 2022
3 min read
  • Maujanja
Jinsi ya Kuondoa Background Kwenye Picha Bila App Yoyote
March 23, 2022
1 min read
  • Maujanja
  • Programu
Hizi Hapa Apps ambazo ni Mbadala wa Soko la Play Store
March 22, 2022
2 min read

Related guides

Related gadgets