Hizi Hapa Tovuti 10 za Tanzania Maarufu Zaidi Kwa Mwaka 2016
Mwisho wa mwaka ndio huo umekaribia na huu ndio wakati mzuri wa kuanza kuangalia ulichokifanya ndani ya mwaka huu mzima. Kwa upande wa teknolojia...
Practical technology guides, tutorials and easy step-by-step help.
Mwisho wa mwaka ndio huo umekaribia na huu ndio wakati mzuri wa kuanza kuangalia ulichokifanya ndani ya mwaka huu mzima. Kwa upande wa teknolojia...
Mtandao wa facebook kwa mara nyingine tena unakuletea namna ya kuangalia matukio yako yote ndani ya mwaka mzima, facebook kupitia mtandao wa face...
Kwa mara nyingine tena baada ya kuangalia tovuti 10 za tanzania zilizotembelewa sana, Leo tunakuletea video 10 zilizoangaliwa sana duniani kupiti...
Kwa mara nyingine tena baada ya kuangalia video zilizoangaliwa sana kwenye mtandao wa youtube kwa mwaka huu wa 2016, leo tukotayari kukueletea li...
Kipindi cha siku kuu za kufunga mwaka kimekaribia, watu wengi mbalimbali kipindi hichi wanapenda kutembelea kwenye maduka mbalimbali ili kununua...
Kampuni ya kubuni teknolojia mbalimbali ikiwemo teknolojia za magari pamoja na vifaa vya muziki vya ndani kutoka nchini marekani Harman, imeingia...
Hivi karibuni raisi mteule wa marekani Donald Trump alipanga kukutana na viongozi au wawakilishi wa makampuni ya teknolojia ya marekani. Kwa moji...
Kama unasoma makala hii bila shaka kwa muda sasa umekua ukitafuta sehemu ya kupata suluhisho la matatizo mbalimbali ya teknolojia iwe simu, kompy...
Mwaka 2017 umeanza na teknolojia nayo bado inaendele kusonga mbele na kukua kila siku, leo huko nchini marekani wataalamu wa teknolojia wametenge...
Suluhisho limepatikana kwa wapenzi wa mbali, hivi karibuni watafiti kutoka kwenye chuo cha City University London cha huko nchini london wamegund...
Bado teknolojia inaendelea kukua kila siku, Kudhihirisha hilo wataalamu kutoka Amsterdam, huko nchini Netherlands wamefanya ugunduzi wa shati la...
Jana kulifanyika ufunguzi wa mkutano wa teknolojia wa CES 2017 angalia hapa matukio yote na matangazo yote ya mkutano huo kwa siku ya jana makamp...
Mkutano mkubwa wa teknolojia duniani CES bado unaendelea na sasa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika huko Las Vegas, Nevada. Kwa siku ya j...
Teknolojia ya magari imeendelea kukua kila siku, ili kukuletea yote unayotakiwa kujifunza na kujua kuhusu magari VinkoWeb itakuletea kipengele ma...
Hivi karibuni youtube imeanza majaribio yake mengine ya kujaribu sehemu mpya ya kuchat kupitia mtandao wa YouTube, Majaribio haya ni ya awamu ya...
Kumekua na tetesi za hapa na pale kuhusu kampuni ya Apple kuwa na mpango wa kutengeneza programu kwaajili ya magari yanayo jiendesha yenyewe, tet...
Mgahawa wa KFC wa nchini china hivi karibuni unategemea kufunga mitambo maalum ambayo itaweza kugundua unachokitaka hata kabla ya wewe kuagiza. M...
Kuna stori mbalimbali duniani ambazo zina elezea matukio ya wadukuzi kutumia kamera ya mbele ya kifaa chako kukupeleleza na baadae kutuma video h...